Psalms 119:98-99

98 aAmri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu,
kwa kuwa nimezishika daima.
99 bNina akili zaidi kuliko walimu wangu wote,
kwa kuwa ninatafakari juu ya sheria zako.
Copyright information for SwhNEN